Tazama ajali ilivyokwamisha ndoto za kijana huyu
Na Adrian Mgaya.
Inasikitisha kwa kweli Ketson John, aligongwa na pikipiki ikamkata mguu na kumtupia kwenye mataluma ya reli, kabla hata hajainuka treni ikampitia na kumkata mguu uliosalia...
Mtazame hapa kupata undani wa maisha yake.
Comments
Post a Comment