Tuwalinde watoto na ajali za barabarani

Na Adrian Mgaya

Amend Tanzania inatengeza miundo mbinu ya kupunguza ajali za barabarani kama vile kuweka alama za barabarani , matuta. Simulizi hii fupi ni ya shule ya Mpakani jijini Dar es Salaam ambapo kuweka alama hizo za barabarani kumeweza kupunguza ajali za barabarani.




Comments

Popular posts from this blog