MATUKIO KATIKA PICHA: WIKI YA USALAMA BARABARANI.

Na Adrian Mgaya






Maandamano ya wadau wa usalama barabarani, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali juu ya usalama barabarani. Katika ufunguzi wa wiki ya usalama barabarani katika viwanja vya mashujaa mkoani Kilimanjaro.




Vijana wa haraiki wakitoa burudani wakati wa maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani.




Zahara Tunda (road safety fellow) akiwa katika majukumu ya ukusanyaji taarifa wakati wa maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani.

Comments

Popular posts from this blog

KWANINI SHERIA HAIWABANI WANAOKAA VITI VYA NYUMA KUFUNGA MKANDA?