Posts

Showing posts from April, 2018

Tuwalinde watoto na ajali za barabarani

Image
Na Adrian Mgaya Amend Tanzania inatengeza miundo mbinu ya kupunguza ajali za barabarani kama vile kuweka alama za barabarani , matuta. Simulizi hii fupi ni ya shule ya Mpakani jijini Dar es Salaam ambapo kuweka alama hizo za barabarani kumeweza kupunguza ajali za barabarani.