JE, UNAFAHAMU HATARI YA KUENDESHA GARI USIKU?
Na Adrian Mgaya Licha ya kwamba uono wa usiku ni hafifu kuliko mchana baadhi ya madereva hukimbilia kuendesha usiku, tena katika mwendo ambao ni hatari kwa maisha yao abiria na watembea kwa miguu... Makala hii ni matokeo ya mradi wa mafunzo ya uandishi wa habari za usalama barabarani (Bloomberg initiative for Global road safety-BIGRS : Road safety journalism fellowship) yaliyofadhiliwa na shirika la afya duniani (WHO) na kutekelezwa na Tanzania Media foundation (TMF). Bofya video hii kutazama.